Your cart is empty, and it looks like you haven’t added anything yet.
2PC Tight Set hii ni mchanganyiko wa mtindo na faraja kwa mwanamke anayependa kuonekana maridadi kila wakati. Seti hii inajumuisha top ya mikono mirefu yenye zip mbele na suruali tight ya mistari (ribbed) yenye kiuno kirefu (high waist) inayokaa vizuri mwilini na kusisitiza maumbo kwa namna ya kuvutia.
Kitambaa chake ni laini, kinavutika (stretchy) na kinaendana na mwili bila kubana kupita kiasi, hivyo kukupa uhuru wa kutembea na kukaa kwa raha. Rangi ya cream/beige ni tulivu na ya kifahari, inafaa kwa matembezi, outings, safari, au hata kuvaa nyumbani kwa mwonekano wa classy na comfortable.
Sifa Kuu:
No review given yet!
Fast Delivery all across the country
Safe Payment
7 Days Return Policy
100% Authentic Products
You need to Sign in to view this feature
This address will be removed from this list